Yanga kuingia kambini leo

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Apr 2022
Yanga kuingia kambini leo

Kikosi cha Yanga kinaingia kambini leo Ijumaa kuanza maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa April 06

Afisa habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema wachezaji wote ikiwa ni pamoja na wale waliokuwa na majukumu timu za Taifa, wataripoti kambini

Bumbuli amesema wachezaji waliopata majeraha wakati wakiwa timu za Taifa, watapokelewa na daktari wa Yanga ambaye atafuatilia taarifa zao kwa ajili ya kuandaa utaratibu wa matibabu yao

"Kikosi kinatarajiwa kuingia kambini kesho (leo), Saido (Ntibazonkiza) bila shaka atakuwa ameshafika nchini tayari kwa kujumuika na wenzake hapo kesho

"Tunategemea Daktari wa timu atapata muda wa kufuatilia ripoti za madaktari za wachezaji wetu ambao wamerudi na majeruhi kutoka kwenye majukumu ya mataifa yao (Aucho na Feisal) ili nasisi tuweze kujiridhisha na kujua tuanzie wapi ki matibabu," alisema Bumbuli

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’