Wachezaji wamerejea kambini na 'mzuka'

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Apr 2022
Wachezaji wamerejea kambini na 'mzuka'

Yanga imeingia kambini rasmi jana kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Jumatano, April 06 katika uwanja wa Azam Complex

Baada ya kushiriki katika mechi za Kimataifa zilizo katika kalenda ya FIFA, nyota waliokuwa na majukumu ya timu za Taifa waliripoti kambini na kujumuika wenzao kwenye mazoezi

Yanga inakabiliwa na michezo miwili muhimu wiki ijayo, kwani baada ya mchezo dhidi ya Azam Fc, April 10 watarejea uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Geita Gold katika mchezo wa robo fainali kombe  la FA

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’