Yanga imeingia kambini rasmi jana kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa ligi kuu dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Jumatano, April 06 katika uwanja wa Azam Complex
Baada ya kushiriki katika mechi za Kimataifa zilizo katika kalenda ya FIFA, nyota waliokuwa na majukumu ya timu za Taifa waliripoti kambini na kujumuika wenzao kwenye mazoezi
Yanga inakabiliwa na michezo miwili muhimu wiki ijayo, kwani baada ya mchezo dhidi ya Azam Fc, April 10 watarejea uwanja wa Benjamin Mkapa kuikabili Geita Gold katika mchezo wa robo fainali kombe la FA






ADVERTISE HERE