Hakuna sikukuu kwa Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
18 Apr 2022
Hakuna sikukuu kwa Yanga

Hakuna sikukuu kwa wachezaji wa Yanga! Ndivyo unavyoweza kusema wakati kikosi cha Yanga kikiendelea na mazoezi kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Namungo Fc ambao utapigwa Jumamosi April 23 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Ni wazi Yanga imeuchukulia mchezo huo kwa umuhimu mkubwa kwani matokeo ya ushindi yatakuwa na maana kubwa kwa mabingwa hao wa kihistoria katika mpango wa kusaka ubingwa wa 28

Yanga inaongoza ligi ikiwa na alama 51 ambazo ni alama 10 zaidi ya Simba inayoshika nafasi ya pili

Ushindi dhidi ya Namungo Fc Jumamosi utamaanisha Yanga itaongeza gep la alama dhidi ya Simba kuwa 13 kabla ya mchezo dhidi yao ambao utapigwa April 30

Kama Yanga itashinda mchezo wa April 30 inaweza kuwa kileleni mwa msimamo wa ligi kwa tofauti ya alama 16!

Hivyo hesabu za kocha Nasreddine Nabi ni kuhakikisha wanashinda michezo yote miwili inayofuata dhidi ya Namungo Fc na Simba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
10h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’