Kamusoko na Ngoma sasa wanarejea kwelikweli

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Jan 2018
Kamusoko na Ngoma sasa wanarejea kwelikweli
Kiungo Thabani Kamusoko amekuwa akijifua na kikosi cha Yanga kwa takribani wiki mbili, yeye akiendelea na mazoezi maalumu kuhakikisha anarejea dimbani bila madhara.

Habari njema ni kwamba kiungo huyo huenda akawa tayari kuonekana ndani ya kikosi cha Yanga mapema akiupiga mpira baada ya kuimarika kwa afya yake.

Mbali na Kamusoko, imeelezwa kuwa Donald Ngoma naye anatarajiwa kurejea dimbani wakati wowote baada ya kupona majeraha yake.

Wawili hao wanaweza wakawa tayari kuivaa St Louis kwenye mchezo wa awali wa ligi ya mabingwa, Februari 10, 2018 kwenye dimba la Taifa.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
3h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’