Bumbuli afunguka tetesi zinazowahusu Ki Aziz, Phiri

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
21 Apr 2022
Bumbuli afunguka tetesi zinazowahusu Ki Aziz, Phiri

Afisa Habari wa Yanga Hassan Bumbuli amesema kwa sasa 'focus' yao ni kutimiza malengo ya msimu huu ambayo ni kushinda ubingwa wa ligi kuu na kombe la FA, masuala ya usajili yatazungumzwa wakati utakapofika

Yanga imekuwa ikihusishwa na nyota kadhaa ambapo tetesi zimewataja zaidi kiungo mshambuliaji wa Asec Mimosas Stephen Aziz Ki na mshambuliaji wa Zanaco Moses Phiri

Bumbuli amesema hawawezi kuzuia tetesi zinazowahusisha na baadhi ya wachezaji lakini masuala ya usajili watayazungumza dirisha la usajili litakapofunguliwa

"Tumezisikia tetesi kuhusu hao wachezaji lakini nafikiri muda wa kuzungumza mambo ya usajili bado. Yanga imekuwa ikihusishwa na wachezaji wengi tu, muhimu tusubiri wakati sahihi utakapofika," alisema Bumbuli

Juzi wakati akizungumza na wanahabari, Msemaji wa Yanga Haji Manara alidokeza kuwa Yanga itaongeza wachezaji wanne au watano katika dirisha la usajili lijalo ambao wachezaji hao watagharimu takribani Bilioni 2.4

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
14h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
18h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
23h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’