Kikosi cha Yanga kimeondoka mapema leo kuelekea Mbeya tayari kwa mchezo wa kombe la FA dhidi ya Ihefu FC.
Mchezo huo utapigwa kwenye dimba la Sokoine leo Jumanne, Januari 30, 2018.
Baadhi ya michezo itakayopigwa leo ukiwemo wa Yanga dhidi ya Ihefu, itaonyeshwa mubashara na Azam TV.

ADVERTISE HERE