Leo Mei Mosi Wafanyakazi kote duniani wanaadhimisha siku ya Wafanyakazi. Kilele cha maadhimisho ya siku hii kwa Tanzania ni mkoani Dodoma
Klabu ya Yanga imewatakia heri ya Siku ya Wafanyakazi Wananchi na Watanzania wote kwa ujumla

ADVERTISE HERE