Kuelekea mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa dhidi ya St Louis, kocha Mkuu wa Yanga George Lwandamina amefurahia kurejea kikosini kwa Wazimbabwe, mshambuliaji Donald Ngoma na kiungo Thabani Kamusoko.
Wawili hao wamekosekana kwenye kikosi cha Yanga tangu mwezi Septemba 2017 wakikabiliwa na majeruhi.
Sasa wamepona kabisa majeraha yao na wako tayari kuanza kuitumikia Yanga.
"Nimefurahi kwa wawili hao kuungana nasi kipindi hiki tunapojiandaa na mchezo wa kwanza wa ligi ya mabingwa."
"Naamini watatuongezea nguvu kwenye michuano hiyo," amesema Lwandamina.

ADVERTISE HERE