Keshokutwa Jumatatu, kikosi cha Yanga kitashuka kunako dimba la Benjamin Mkapa kuikabili Tanzania Prisons katika mchezo wa ligi kuu ya NBC
Yanga imetangaza viingilio vya mchezo huo ambapo VIP A ni Tsh 15,000/-, VIP B na C ni Tsh 10,000/- na Mzunguuko ni Tsh 5,000/-
Mchezo utapigwa kuanzia saa moja usiku

ADVERTISE HERE