Ratiba kamili ya VPL hadharani

Admin By Admin
β€’
13 Jul 2017
Ratiba kamili ya VPL hadharani
Tayari ratiba nzima ya ligi kuu ya Vodacom kwa klabu ya Yanga msimu wa 2017/18 iko humu.

Tarehe za baadhi ya michezo zitabadika huko mbeleni kupisha ratiba ya michuano ya CAf pamoja na kombe la FA.

Aidha ratiba za Yanga kwenye michuano mingine zitawekwa pia kadiri zitakavyotolewa.

Habari njema kwa kila mwana Yanga mwenye App hii, kutakuwa na Live Score ya kila mchezo. Hatutaweza kuwa na Live Video kutokana na masuala ya haki za matangazo lakini Live Text zitakuwepo kama kawaida.

Ukibonyeza kwenye kila mchezo katika ratiba utapelekwa kwenye ukurasa maalum ambao unakuwa Live wakati mchezo unaendelea.

Na hata mchezo ukimalizika takwimu muhimu za mchezo huo zinaendelea kubaki hapo.

Video za highlights zitawekwa kwa ajili ya matukio muhimu wakati wa mchezo na baada ya mchezo kumalizika

Pia watumiaji wa App ambao watakosa mda wa kufuatilia mchezo wataweza kupokea sms kwa matukio muhimu wakati mchezo unaendelea kama mabao, mabadiliko n.k

Humu tupo Kidigitali zaidi wakaribisheni wanaYanga wengine ambao hawana habari kuhusu Yanga Damu.

YANGA, DAIMA MBELE NYUMA MWIKO
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’