Kikosi cha Yanga kimekamilisha maandalizi ya mwisho kuelekea mchezo wa ligi kuu dhidi ya Dodoma Jiji
Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili katika uwanja wa Jamhuri
Yanga imefanya mazoezi yake ya mwisho jioni katika dimba hilo la Jamhuri







ADVERTISE HERE