Mwamnyeto kusaini mkataba mpya Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
17 May 2022
Mwamnyeto kusaini mkataba mpya Yanga

Nahodha wa Yanga Bakari Nondo Mwamnyeto anatarajiwa kusaini mkataba wa miaka mwili kuendelea kuwatumikia Wananchi

Baada ya tetesi za hapa na pale, hatimaye kochi jeupe la Injinia Hersi Said limefanya kazi yake kumbakisha Mwamnyeto kuendelea kuwatumikia Wananchi

Mwamnyeto amekuwa na kiwango bora sana tangu alipojiunga na Yanga misimu miwili iliyopita akitokea Coastal Union

Mwamnyeto ni mchezaji mwenye nidhamu, mpambanaji na kiongozi. Alikabidhiwa unahodha wa Yanga muda mfupi tu baada ya kusajiliwa kutoka Coastal Union

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’