Yanga yajifua Iringa

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
2 Feb 2018
Yanga yajifua Iringa
Kikosi cha Yanga kimefika salama mapema leo mkoani Iringa ambapo jioni kimefanya mazoezi kwenye uwanja wa Chuo cha Mkwawa.

Yanga itaivaa Lipuli FC keshokutwa Jumamosi, Februari 03 kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom mzunguuko wa 16.

Mchezo huo utapigwa kwenye dimba la Samora.

Baada ya ushindi dhidi ya Ruvu Shooting, Azam FC na kutinga hatua ya 16 bora kombe la FA kwa kuiondosha Ihefu FC, kikosi cha Yanga kina matumaini makubwa ya kuibuka na ushindi Jumamosi.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’