Sasa ni mwendo wa kutetema tu

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 May 2022
Sasa ni mwendo wa kutetema tu

Jina la Fiston Mayele limezungumzwa sana kutokana na kasi yake ya kupachika mabao pamoja na aina yake ya ushangiliaji 'kutetema'

Kuna watu wanakerwa sana na aina yake ya ushangiliaji, wapo watu wanashangilia kuona 'hajatetema' katika michezo minne iliyopita

Habari mbaya kwao, ni kuwa sasa Wananchi hawajali nani anafunga! ni mwendo wa kutetema kila goli!

Kazi hiyo inaanza leo pale uwanja wa Benjamin Mkapa katika mchezo dhidi ya Mbeya Kwanza

Na itaendelea hadi May 28 katika mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
12h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
16h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
21h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
21h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’