Wananchi tayari wako Mwanza

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 May 2022
Wananchi tayari wako Mwanza

Kikosi cha Yanga kiliwasili jijini Mwanza jana usiku kuelekea mchezo wao wa ligi kuu dhidi ya Biashara United ambao utapigwa kesho Jumatatu katika uwanja wa CCM Kirumba

Wakiwa wamebakisha alama sita kutwaa ubingwa, Wananchi wamepania kushinda mchezo huo na ule utakaofuata baada ya mapumziko ya kalenda ya Kimataifa

Yanga imeingia Mwanza ikiwa na kikosi chake kamili kwani baada ya mchezo dhidi ya Biashara United, wataendelea na maandalizi jijini Mwanza kujiandaa na mchezo wa nusu fainali kombe la FA dhidi ya Simba ambao utapigwa May 28 katika dimba hilo la Ccm Kirumba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
11h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
14h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
19h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
19h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
23h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’