Baada ya kuwasili Mwanza jana usiku, leo asubuhi Yanga imefanya mazoezi yake ya kwanza jijini Mwanza kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Biashara United
Mchezo huo utapigwa katika uwanja wa CCM Kirumba, Jumatatu










ADVERTISE HERE