Mwamuzi Ahmed Arajiga kutoka Mara atasimama katikati ya dimba kwenye mchezo wa nusu fainali kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kati ya Yanga dhidi ya Simba ambao utapigwa Jumamosi May 28 kwenye uwanja wa CCM Kirumba
Frank Komba kutoka jijini Dar es salaam ni mwamuzi msaidizi namba moja wakati mwamuzi msaidizi namba mbili ni Mohamed Mkono kutoka Tanga
Mwamuzi wa akiba ni Elly Sasii kutoka jijini Dar es salaam

ADVERTISE HERE