Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kiungo mshambuliaji wa Yanga, Deus Kaseke
Kaseke ndiye mchezaji mwandamizi zaidi kwenye kikosi cha sasa cha Yanga akiwatumikia Wananchi tangu msimu wa 2014/15
Aliondoka kwa msimu mmoja 2017/18 kwenda kuitumikia Singida United kisha kurejea tena Yanga msimu uliofuata
Pamoja na kuwa msimu huu imekuwa sio rahisi kwake kujihakikisha nafasi ya kucheza kwenye kikosi cha kwanza kutokana na ushindani uliopo, pale anapoipata nafasi hujitoa kwa moyo mmoja kuipigania Yanga
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii muhimu ya kumbukumbu kwake
HAPPY BIRTHDAY KASEKE...!
ADVERTISE HERE