FT : Yanga 1-0 Simba, ASFC

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 May 2022
FT : Yanga 1-0 Simba, ASFC

Feisal Salum 'Fei Toto' ameipa Yanga ushindi muhimu uliowapeleka hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) kwa ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Simba

Lilikuwa shuti la umbali wa takribani mita 25-30 lililojaa moja kwa moja kimiani upande wa kushoto wa mlinda lango Beno Kakolanya

Wananchi waliingia katika mchezo huo wakiwa na shauku ya ushindi, dakika 45 za kwanza Yanga ilitengeneza nafasi nyingi ambazo pengine zingeweza kuwahakikishia ushindi mnono zaidi

Ni ushindi uliowapa furaha mashabiki wa Yanga, kwani matokeo haya ni kisasi cha kupoteza mchezo wa fainali dhidi ya Simba msimu uliopita

Wananchi wanatangulia Arusha kwa ajili ya mchezo wa fainali wakimsubiri mshindi wa mchezo kati ya Azam Fc dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa kesho Jumapili katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
55m ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’