Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa kocha wa viungo wa Yanga, Helmy Gueldich
Yanga ina bahati kuwa na Helmy katika benchi la ufundi kwani ni mtaalam ambaye mchango wake katika utimamu wa wachezaji unaonekana
Pamoja na majukumu yake ndani ya klabu, Helmy ni mhamasishaji, rafiki wa kila mchezaji
Tunamtakia kila la kheri katika siku hii ya kumbukumbu kwake
HAPPY BIRTHDAY HELMY
ADVERTISE HERE