Yanga yaifumua Friends Rangers 8-0 mchezo wa kirafiki

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Jun 2022
Yanga yaifumua Friends Rangers 8-0 mchezo wa kirafiki

Kikosi cha Yanga kinaendelea na mazoezi Avic Town kujiandaa na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa wiki ijayo Juni 15 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Leo Yanga ilicheza mechi ya kirafiki dhidi ya Friends Rangers ikiwa ni sehemu ya program ya kocha Nasreddine Nabi

Wananchi wameibuka na ushindi wa mabao 8-0 yaliyofungwa na Yusufu Athumani (3), Herietier Makambo (2), Denis Nkane (2) na Fiston Mayele aliyefunga bao moja

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
4h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
4h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
7h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
12h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
15h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
18h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’