Tetesi zimekuwa nyingi kuhusu kiungo mshambuliaji wa Asec Mimosas, Stephen Aziz Ki ambaye pia hucheza timu ya Taifa ya Burkina Faso
Wananchi wanasubiri taarifa njema kutoka kwa viongozi wao kuhusu usajili wa fundi huyu mahiri sana kwenye matumizi ya mguu wa kushoto
Tusisahau Yanga iliachana na Saido Ntibazonkiza baada ya kutokubaliana katika maslahi ya mkataba mpya
Saido alikuwa na mchango mkubwa kwenye kikosi cha Yanga, hivyo tutarajie mbadala wake hawezi kuwa mchezaji wa kawaida
Ni lazima awe katika daraja la kina Aziz Ki ambao wanaweza kufunga na kutoa pasi za mabao
Za ndani kabisa, tumezipata kuwa kuna sapraisi imeandaliwa na Rais mtarajiwa Julai 10
Sio Aziz tu, kuna majembe yatashushwa siku hiyo, hawataamini macho yao!
ADVERTISE HERE