Mchezo wa ligi kuu ya NBC kati ya Yanga dhidi ya Coastal Union ambao utapigwa uwanja wa Benjamin Mkapa siku ya Jumatano, Juni 15 2022, muda wa mchezo umebadilishwa kutoka saa moja usiku na sasa mchezo utapigwa saa mbili na nusu usiku
Uongozi wa Yanga umethibitisha mabadiliko hayo huku wakiwataka mashabiki kujitokeza kwa wingi katika mchezo huo ambao Yanga inahitaji ushindi ili kutwaa ubingwa
ADVERTISE HERE