Tutapiga tena panapouma - Albinus

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
•
13 Jun 2022
Tutapiga tena panapouma - Albinus

Mwenyekiti wa Kamati ya Ufundi Yanga Dominic Albinus 'Baba Paroko' amesema Wananchi wakae tayari kwani muda sio mrefu watafanya tukio jingine kubwa 

Wananchi leo watakuwa na mkutano na Wanahabari na huku ikifahamika kuwa wanaweza kutwaa ubingwa keshokutwa Jumatano kama watapata ushindi katika mchezo wa ligi kuu dhidi ya Coastal Union

Juzi walizima tambo za watani zao kuhusu mchezaji Stephane Aziz Ki ambaye inaelezwa tayari Rais mtarajiwa wa Yanga Injinia Hersi Said 'amemaliza kazi'

Albinus amesema bado hawajamaliza, kwani muda si mrefu wanapiga tena...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE →
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
5h ago
READ MORE →
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE →
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE →
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
9h ago
READ MORE →
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE →
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE →
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE →
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE →
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE →