Yanga inawania rekodi ya aina yake

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
24 Jun 2022
Yanga inawania rekodi ya aina yake

Msimu huu Yanga imedhihirisha kwa vitendo kuwa dhamira yao ya kutwaa ubingwa ilikuwa ya dhati kabisa

Jumamosi Juni 25 Wananchi watakabidhiwa kombe lao baada ya mchezo dhidi ya Mbeya City pale uwanja wa Sokoine

Nyota wa Yanga wameelekea mkoani Mbeya wakiwa na tabasamu la kukabidhiwa taji la ligi kuu lakini wanafahamu wana kazi ya kuhakikisha hawaharibu rekodi yao ya kutopoteza mchezo msimu huu

Ni heshima kubwa kwa wachezaji wa Yanga kutwaa ubingwa lakini ni heshima zaidi kama watafanikisha hilo pasipo kupoteza mchezo msimu mzima

Lakini itakuwa heshima zaidi zaidi kama watafanikiwa kutwaa kombe la FA Julai 02 kule mkoani Arusha

Historia itaandikwa kuwa katika msimu wa ligi kuu 2021/22 Yanga walitwaa mataji yote pasipo kupoteza mchezo

Β 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
7h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’