Leo Coastal Union walifunga mkwaju mmoja tu, mbele ya mlinda lango wa Yanga Djigui Diarra 'screen protector'
Diarra alizuia penati moja ya Coastal Union huku nyingine ikigonga mwamba
Kwa mara ya pili Diarra anaisaidia Yanga kupata matokeo muhimu katika michuano ya FA
Alifanya kazi hiyo katika mchezo wa robo fainali dhidi ya Geita Gold
Yanga ilifunga penati zote kupitia kwa Yannick Bangala, Dickson Job, Heritier Makambo na Khalid Aucho
ADVERTISE HERE