Makambo an'gara Shirikisho

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Jul 2022
Makambo an'gara Shirikisho

Mshambuliaji Heritier Makambo ndiye kinara wa mabao kwenye kikosi cha Yanga katika michuano ya kombe la Shirikisho la Azam (ASFC) akifunga mabao manne na kutoa pasi moja ya bao

Jana katika mchezo wa fainali dhidi ya Coastal Union, Makambo alifunga bao lake la nne pia akitoa pasi ya bao lililofungwa na Feisal Salum 'Fei Toto'

Kumekuwa na mjadala miongoni mwa mashabiki wa Yanga kuhusu hatma ya Makambo lakini ni wazi kiwango bora alichoonyesha katika  michezo ya mwisho msimu huu kinaweza kurejesha imani ya benchi la ufundi kwake

Yanga inatarajiwa kuongeza nyota wanne wa kigeni na italazimika kuacha mchezaji mmoja ili kukidhi matakwa ya kanuni za usajili wa ndani

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
11m ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
35m ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
3h ago
READ MORE β†’
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
Yao bado kidogo, Diarra tayari kurejea
8h ago
READ MORE β†’
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
11h ago
READ MORE β†’
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
Yanga inahitaji utulivu, si vita ya lawama
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
1d ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
1d ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
1d ago
READ MORE β†’