Vipaumbele vya Injinia Hersi Said

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Jul 2022
Vipaumbele vya Injinia Hersi Said

Mgombea urais wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Said leo amezindua rasmi kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Yanga ambao utafanyika Julai 09 ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere

Akizungumza katika Mkutano na Wanahabari uliofanyika Serena Hotel mapema leo, Hersi aliweka hadharani vipaumbele vyake na yale ambayo anakusudia kuyafanya kama atachaguliwa kuwa Rais wa Yanga

1. MIUNDOMBINU YA KLABU.
a) Ujenzi wa uwanja wa mechi wenye uwezo wa kubeba watu 20,000 - KAUNDA JANGWANI
b) Marekebisho ya jengo la klabu - JANGWANI
c) Kuendeleza TRAINING CENTRE - KIGAMBONI

2 MABADILIKO YA MUUNDO WA KLABU.
Klabu yetu kupitia kwa wanachama walipitisha mfumo wa mabadiliko. Nikiwa mmoja waumini wa mabadiliko hayo, naahidi kuyasimamia na kuyaendeleza mabadiliko hayo kwa mujibu wa KATIBA YETU.

3. KUIMARISHA UCHUMI WA KLABU
Kupitia kwa miradi ya usajili wa wanachana.
Kupitia kwa miradi ya usajili wa washabiki
Kuvutia Wadhamini mbali mbali.
Kuvutia wawekezaji.

4. KUJENGA KIKOSI IMARA CHA KULETA MATAJI NA FURAHA KWA WANA YANGA.
a. LIGI KUU
b. FA CUP
c. NGAO YA JAMII
d. MASHINDANO YA KIMATAIFA

5. KUJENGA TIMU IMARA ZA TIMU ZA VIJANA NA WANAWAKE.
a. U-17
b. U-20
c. YANGA PRINCESS

6. Kuongeza USHIRIKIANO baina ya KLABU na wanachama na mashabiki wake, wadau mbali mbali ikiwemo idara za serekali, sekta binafsi, waandishi wa habari na watanzania kwa ujumla.

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’