Rais wa klabu ya Yanga Injinia Hersi Said leo amefanya Uteuzi wa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji Gerald Kihinga
Kwa mujibu wa Katiba ya Yanga, Rais ana nafasi mbili za uteuzi wa Wajumbe wa Kamati ya Utendaji

ADVERTISE HERE