Huko kwenu bado unazisikia kelele zao?

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
15 Jul 2022
Huko kwenu bado unazisikia kelele zao?

Jamanieee, tukubaliane jambo moja, hii Yanga inayoongozwa na Rais Hersi Said sio level yao tena

Tazama aina ya usajili ambao umefanyika katika dirisha hili halafu angalia na kule kwao

Waliaminishana kuwa Yanga haina ubavu ya kuwasajili akina Stephen Aziz Ki wakasahau kuwa Yanga ya sasa sio ile ya kutembeza bakuli

Ki ametua, sijui wale wachambuzi wao wa michongo wataficha wapi sura zao. Hili pigo alilowapa Hersi litawatesa sanaaaa

Sasa Wananchi wamefunga usajili wa Kimataifa na wanakwenda kwenye maandalizi ya msimu mpya

Tahadhari! wajiandae kisaikolojia, August 13 maji wataita 'mma' pale Lupaso

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
2h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
3h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
6h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
21h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’