Bigirimana mapema tu Avic Town

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
25 Jul 2022
Bigirimana mapema tu Avic Town

Gael Bigirimana yuko Avic Town akiendelea na pre-season ya kikosi cha Yanga kinachojiandaa na mikiki mikiki ya msimu mpya

Yanga imemrejesha Bigirimana kucheza Afrika kwa mara ya kwanza katika ngazi ya klabu kwani sehemu kubwa ya maisha yake ya soka kacheza Ulaya

Aliondoka burundi akiwa na umri mdogo sana, amewahi kuitumikia timu ya Taifa ya Uingereza U20

Baada ya kupata mafanikio kule Uingereza akicheza ligi kuu ya Premia na Championship na baadae Scotland, wengi wanasubiri kuona atafanikiwa Afrika?

Habari njema ni kuwa Bigirimana anaitumikia timu ya Taifa ya Burundi hivyo soka la ukanda huu sio geni kwake

August 06 ataanza kuonyesha cheche zake pale uwanja wa Benjamin Mkapa katika kilele cha wiki ya Mwananchi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
7h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
7h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
10h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
15h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’