Mshambuliaji wa Yanga Fiston Mayele amerejea nchini akitokea DR Congo katika mapumziko
Mayele alitua nchini jana majira ya saa 12 jioni na moja kwa moja kuelekea Avic Town kuungana na wenzake
Kuna walioanza kushangilia baada ya yule Mwanahabari wa Ghana kuzusha kuwa Mayele amesajiliwa na Kaizer Chiefs
Tuwape pole kwani tabu bado iko pale pale!
Baada ya kutua nchini, Mayele aliwaambia wanahabari kuwa amerejea nyumbani kuendelea na kazi..!
ADVERTISE HERE