Nyota wawili kutoka DR Congo Yannick Bangala na Djuma Shabani wameongeza mikataba kuendelea kuitumikia Yanga
Wote walikuwa wachezaji muhimu katika kikosi cha Yanga msimu uliopita ambacho kilitwaa mataji matatu

Djuma alihusika katika mabao nane kwenye ligi akifunga matatu na kutoa pasi tano za mabao wakati Bangala alikuwa mchezaji bora wa ligi
Wameongeza miaka mingine miwili katika mikataba yao ya awali
Fiston Mayele ndiye anayefuata, ataongeza mkataba wakati wowote
ADVERTISE HERE