Yanga yajifua uwanja wa Polisi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
8 Feb 2018
Yanga yajifua uwanja wa Polisi
Baada ya mapumziko ya siku moja, kikosi cha Yanga kimeendelea na mazoezi leo katika uwanja wa Polisi jijini Dar es salaam.

Baada ya ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya Njombe Mji juzi, wachezaji walipewa mapumziko ya siku moja ili kuondoa uchovu.

Yanga itaivaa St Louis keshokutwa Jumamosi kwenye mchezo wa awali wa ligi ya mabingwa, mchezo unaotarajiwa kupigwa kwenye uwanja wa Taifa.

Tayari St Louis iko nchini tangu juzi Jumanne, na inadaiwa kutuma mashushu kuifuatilia Yanga siku chache kabla haijawasili.

Katibu Mkuu wa Yanga Charles Mkwasa amesema timu yake imejipanga kuhakikisha inaibuka na ushindi mnono kuhakikisha inavuka hatua hiyo ya awali.
ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
1h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
6h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
6h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
10h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’