Ukizubaa tu, utakosa wiki ya Mwananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Aug 2022
Ukizubaa tu, utakosa wiki ya Mwananchi

Wananchi wamehamasika kwelikweli kuelekea kilele cha wiki ya Mwananchi August 06 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Saa chache baada ya mauzo ya tiketi kuanza, tiketi za VVIP ambazo ni Tsh 300,000/- zimemalizika

Tiketi zinazopatikana ni VIP A Tsh 150,000/-, VIP B Tsh 30,000/-, VIP C Tsh 20,000/- na Mzunguuko Tsh 10,000/-

Ni wazi kama unahitaji kuwa mmoja wa Wananchi watakaokuwa na bahati ya kulishuhudia tukio hio 'mbashara' pale kwa Mkapa, unapaswa kununa tiketi yako sasa

Kuna uwezekano mkubwa yiketi zitamalizika mapema kabla ya Jumamosi

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
40m ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
1h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
4h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
19h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
23h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’