Ushindi mwingine kwa Yanga Avic Town

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
3 Aug 2022
Ushindi mwingine kwa Yanga Avic Town

Yanga leo imecheza mchezo wa tatu wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc ikiwa ni sehemu ya maandalizi kuelekea kilele cha wiki ya Mwananchi

Yanga imeibuka na ushindi wa mabao 2-0 yakifungwa na Heritier Makambo na Fiston Mayele aliyefunga kupitia mkwaju wa penati

Mayele amerejea na moto uliomaliza nao msimu uliopita akipachika mabao matano katika michezo mitatu

Huo ni mchezo wa mwisho wa kujipima nguvu kwa kikosi cha kocha Nasreddine Nabi ambaye sasa anasubiri mchezo mwingine katika kilele cha wiki ya Mwananchi dhidi ya Vipers Fc August 06

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Matchday; Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
16m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
3h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
18h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
21h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
22h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
23h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’