Bigirimana asikitishwa na kipigo Wiki ya Mwananchi

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
7 Aug 2022
Bigirimana asikitishwa na kipigo Wiki ya Mwananchi

Kiungo wa Yanga Gael Bigirimana amewashukuru mashabiki wa timu hiyo kwa kujitokeza kwa wingi kwenye Tamasha la Mwananchi lililofanyika uwanja wa Benjamin Mkapa jana

Gael amesema alichokishuhudia dimba la Mkapa jana ni heshima kwake lakini amesikitishwa na matokeo ya mchezo dhidi ya Vipers Fc wakifungwa mabao 2-0

"Ilikuwa ni heshima, kupata uzoefu leo. Lakini sikufurahishwa na matokeo, kushindwa ni dawa ya kutibu mapungufu yetu," alisema Bigirimana

Katika mchezo dhidi ya Vipers, Bigirimana aliingia kipindi cha pili na alionyesha umahiri mkubwa katika eneo la kiungo

Kufungwa ni matokeo ambayo hakuna shaka yatawaongezea wachezaji wa Yanga hasira ya kupambana ili kuhakikisha wanawapa furaha mashabiki wao August 13 kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
11h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
11h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
14h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
19h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
20h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’