Tukutane August 13 Ngao ya Jamii

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
9 Aug 2022
Tukutane August 13 Ngao ya Jamii

Wiki ya Mwananchi imemalizika, Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi na vijana wake wamerejea mazoezini Avic Town kujiandaa na mchezo wa Ngao ya Jamii dhidi ya Simba

Mchezo huo utapigwa Jumamosi, August 13 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Huu ni mchezo muhimu sana kwa Yanga katika mkakati wa kutetea mataji yote waliyoshinda msimu uliopita

Wachezaji wa Yanga wanafahamu ni kwa kiasi gani mashabiki wao wameumia baada ya kupoteza mchezo wa Wiki ya Mwananchi kwa msimu wa pili mfululizo

Ushindi siku ya Jumamosi utarejesha furaha ya Wananchi na utakuwa mwanzo mzuri kuelekea msimu mpya wa ligi kuu kama ilivyokuwa msimu uliopita

Nabi amesema watakuwa na muda mzuri wa kujiandaa na Ngao ya Jamii pamoja na ligi ambapo Jumanne ijayo August 16 Yanga itakuwa mkoani Arusha kumenyana na Polisi Tanzania katika mchezo wa kwanza wa ligi msimu huu

 

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
11h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
16h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’