Ali Kamwe ajitosa kumrithi Bumbuli

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
12 Aug 2022
Ali Kamwe ajitosa kumrithi Bumbuli

Mchambuzi wa Azam TV Ali Kamwe anatajwa kuwa miongoni mwa waliojitosa kuwania Ukuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano katika klabu ya Yanga

Kamwe anawania kurithi mikoba iliyoachwa na Hassan Bumbuli ambaye mkataba wake umemalizika

Mchakato wa kumsaka mrithi wa Bumbuli tayari umeanza na imeelezwa Kamwe ni miongoni mwa waliowasilisha maombi

Kamwe amejipambanua kuwa na uwezo wa kushawishi na kuwaunganisha watu rejea vile alivyoianzisha Insta United na kuongeza hamasa kwenye mashindano ya Ndondo Cup

Kama anakidhi vigezo, anaweza kuwa mtu sahihi kukabidhiwa majukumu hayo?

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
2h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
17h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
21h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’