MatchDay : Coastal Union vs Yanga, NBC PL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Aug 2022
MatchDay : Coastal Union vs Yanga, NBC PL

Wananchi bado wana kumbukumbu ya mchezo wa fainali kombe la FA msimu uliopita dhidi ya Coastal Union ambao ulimalizika kwa matokeo ya sare ya mabao 3-3 na baadae Yanga kutwaa ubingwa kwa mikwaju ya penati katika mchezo huo uliopigwa kwa dakika 120

Ndio mchezo ambao ulimuingiza matatani Msemaji wa Yanga Haji Manara ambaye amefungiwa miaka miwili na faini ya Tsh Milioni 20

Leo Yanga inacheza tena na Coastal Union katika mchezo wa ligi kuu unaopigwa palepale kunako dimba la Sheikh Amri Abeid

Kwa hakika hautakuwa mchezo mwepesi, wachezaji wa Yanga wanapaswa kupambana kwelikweli zaidi ya walivyofanya kwenye FA ili kuweza kuondoka na ushindi

Makosa yaliyojitokeza kwenye safu ya ulinzi katika mchezo uliopita, hayapaswi kurudiwa tena

Safu ya ushambuliaji inapaswa kuwa na ukatili leo, kutumia kila nafasi wanayotengeneza

Ni wazi inaeleweka mchezo utakuwa wa aina gani hasa ukizingatia kinachoendelea sasa kati ya Yanga na yule Shabiki Namba Moja wa Coastal Union..!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
7h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
12h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’