Mshery na rekodi ya kibabe dhidi ya Coastal Union

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Aug 2022
Mshery na rekodi ya kibabe dhidi ya Coastal Union

Msimu uliopita mlinda lango wa Yanga Aboutwaib Mshery alicheza mechi tatu za ligi kuu dhidi ya Coastal Union bila ya kuruhusu bao

Alicheza mechi ya kwanza wakati yuko Mtibwa Sugar na akawaongoza wakata miwa hao kupata ushindi wa bao 1-0 katika uwanja wa Mkwakwani

Baada ya mchezo huo akasajiliwa na Yanga, akarejea tena Mkwakwani, akaiongoza Yanga kupata ushindi wa mabao 2-0

Mchezo wa tatu ulipigwa uwanja wa Benjamin Mkapa, akaiongoza Yanga kupata ushindi wa mabao 3-0

Leo Mshery atakuwa langoni Yanga itakapoivaa Coastal Union katika mchezo utakaopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1h ago
READ MORE β†’
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
Maandalizi ya kuikabili Mashujaa Fc yamekamilika
11h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
Aziz Ki amemaliza adhabu, tayari kurejea kikosini
16h ago
READ MORE β†’
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
Tunajua tumewaumiza, tuko tayari kupambana - Dladla
20h ago
READ MORE β†’
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
Yanga mpya kuanza na Mashujaa Fc, hivi hapa viingilio
21h ago
READ MORE β†’
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
Hersi akimpata huyu wamekwisha!
21h ago
READ MORE β†’
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
Droo ya makundi CAF ni Jumatano
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
Yanga yarejea Dar, kujipanga dhidi ya Mashujaa Fc
1d ago
READ MORE β†’
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
Behlulovic anasubiri simu ya Injinia Hersi
1d ago
READ MORE β†’