FT : Coastal Union 0-2 Yanga, NBC PL

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
20 Aug 2022
FT : Coastal Union 0-2 Yanga, NBC PL

Yanga imeendeleza wimbi la ushindi kwenye ligi kuu ya NBC wakiichapa Coastal Union mabao 2-0 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Mabao ya Bernard Morrison na Fiston Mayele yalitosha kuihakikishia Yanga ushindi huo wa pili ugenini msimu huu

Pasi ndefu kutoka kwa Feisal Salum ilitendewa haki na Jesus Moloko aliyemtengea pasi murua Morrison aliyefunga bao la kuongoza kwenye dakika ya nne

Mayele alifunga kupitia mpira wa kichwa akimalizia pasi murua ya kichwa kutoka kwa Djuma Shabani

Hata hivyo bado waamuzi wanashindwa kulinda wachezaji ambapo wachezaji Yannick Bangala na Jesus Moloko walifanyiwa rafu mbaya, Moloko akishindwa kuendelea na mchezo

Pamoja na changamoto hiyo, Yanga imefanikiwa kuondoka na alama zote tatu

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
3h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
4h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
7h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
12h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
12h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
22h ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
23h ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’