Mechi mbili, alama sita, Ahsanteni Arusha

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
22 Aug 2022
Mechi mbili, alama sita, Ahsanteni Arusha

Kikosi cha Yanga kimekamilisha ratiba ya mechi mbili za ugenini mkoani Arusha kibabe kwa kushinda mechi zote

Yanga wamerejea jijini Dar es salaam na alama sita baada ya kushinda michezo dhidi ya Polisi Tanzania na Coastal Union

Wananchi wa Arusha walikuwa bega kwa bega na timu yao kuhakikisha wanavuka salama katika michezo hiyo miwili ya mwanzo wa msimu

Wakati wachezaji walioitwa timu ya Taifa wakielekea moja kwa moja kambini kujiunga na wenzao walioanza maandalizi ya mchezo wa kuwania kufuzu CHAN dhidi ya Uganda, nyota wengine wataendelea na maandalizi kwa takribani wiki mbili kabla ya mchezo unaofuata ligi kuu dhidi ya Azam Fc ambao utapigwa Septemba 06 katika uwanja wa Benjamin Mkapa

Baada ya mchezo huo Wananchi watasafiri nchini Sudan kuwafuata Zalan Fc kwa ajili ya mchezo wa mkondo wa kwanza hatua ya awali michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
5h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
9h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
13h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
14h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
14h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’