Marehemu Hadija Nampembe, Mwanachama na Shabiki maarufu wa Yanga aliyefariki juzi, kwenye ajali ya gari kule maeneo ya Msata, wakati anakwenda kuishangilia Yanga mkoani Arusha, anatarajiwa kuzikwa leo adhuhuri Dar es salaam
Bi Hadija atazikiwa Makaburi ya Ndugumbi Magomeni na msiba upo nyumbani Kwa Mumewe Mwananyamala Kisiwani
Rais wa Yanga Injinia Hersi Said akiongozana viongozi wengine waandamizi wa Yanga, watawaongoza waombolezaji katika kumpumzisha Dada Hadija
Mwenye ez Mungu ailaze roho yake mahali pema AMEN...
ADVERTISE HERE