Nabi awasoma Azam Fc

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
28 Aug 2022
Nabi awasoma Azam Fc

Kocha Mkuu wa Yanga Nasreddine Nabi jana alielekea visiwani Zanzibar na usiku akashuhudia mchezo wa kirafiki kati ya Taifa Ya Jang'ombe dhidi ya Azam Fc

Taifa ya Jang'ombe walikuwa na tukio la utambulisho wa kikosi chao kuelekea msimu mpya wa ligi kuu visiwani Zanzibar

Nabi alikuwepo uwanja wa Amaan kuwasoma Azam Fc katika mchezo huo ambao ulimalizika kwa suluhu ya bila kufungana.

Azam Fc watacheza na Yanga Septemba 06 kwenye mchezo wa ligi kuu ya NBC

Kocha Nabi amedhamiria kuendeleza rekodi yake ya kibabe akiwa na Yanga, amewaongoza Wananchi katika mechi 39 mfululizo pasipo kupoteza!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
Hersi atembelea Makao Makuu ya Al Ahly
4h ago
READ MORE β†’
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
8h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
12h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
13h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
16h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’