Yanga yapigwa faini Tsh Mil 1.5

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
30 Aug 2022
Yanga yapigwa faini Tsh Mil 1.5

Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa ligi kuu Tanzania katika kikao chake cha August 26 2022, ilipitia mwenendo wa matukio mbalimbali kwenye ligi na kufanya maamuzi

Yanga imetozwa faini ya Tsh 1,000,000/- baada ya mashabiki wake kurusha chupa uwanjani katika mchezo dhidi ya Polisi Tanzania uliopigwa uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Katika mchezo dhidi ya Coastal Union, Yanga imetozwa faini ya Tsh 500,000/- kwa kosa la kufanya mabadiliko kwa mikupuo minne badala ya mikupuo mitatu kama ilivyoelekezwa katika kanuni

Mwamuzi aliyechezesha mchezo huo, Raphael Ikambi ameondolewa kwenye ratiba ya waamuzi kwa raundi tatu baada ya kushindwa kutafsiri sheria

Ni katika tukio la kiungo wa Coastal Union Mtenje Albano kumfanyia rafu mbaya mlinzi wa Yanga Yannick Bangala

Kamati imewakumbusha wachezaji wote na maafisa wa benchi la ufundi kuzingatia mchezo wa kiungwana Fair Play

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
2h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
7h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’