Kisinda amerejea nyumbani

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
1 Sep 2022
Kisinda amerejea nyumbani

Yanga imethibitisha kumsajili nyota wake wa zamani, winga Tuisila Kisinda

Kisinda amerejea Yanga akitokea klabu ya RS Berkane ya Morocco

"Karibu nyumbani, sisi Wananchi tunafurahi kukupokea," ni maneno ya Rais wa Yanga Injinia Hersi Said akimkaribisha Kisinda kwa mara nyingine kunako klabu ya Yanga

"Asante sana boss, narudi nyumbani, nakuja kufanya kazi tu...," alijibu Kisinda

KARIBU TENA KISINDA...!

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
Mashabiki Club Africain bado hawajaisahau Yanga
3h ago
READ MORE β†’
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
Ni Gusa Achia Twende Kwao?
7h ago
READ MORE β†’
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
Aziz Ki atunukiwa tuzo ya kukuza vipaji
8h ago
READ MORE β†’
Baada ya Manqoba nani anafuata?
Baada ya Manqoba nani anafuata?
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
Magazeti ya leo Alhamisi, Oktoba 29 2026
11h ago
READ MORE β†’
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
1d ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
1d ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
1d ago
READ MORE β†’