TFF yagomea usajili wa Kisinda Yanga

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
5 Sep 2022
TFF yagomea usajili wa Kisinda Yanga

Msemaji wa zamani wa Yanga Haji Manara ameeleza kushangazwa na uamuzi wa Shirikisho la Mpira wa miguu Tanzania (TFF) kuzuia usajili wa winga Tuisila Kisinda kujiunga na Yanga akitokea klabu ya RS Berkane

Manara amesema Yanga imekamilisha usajili wa Kisinda kabla ya dirisha la usajili kufungwa, wamewasilisha majina ya wachezaji 12 wa kigeni waliosajiliwa ndani ya wakati lakini wanashangaa kwa nini Kisinda azuiwe ikiwa hata ITC yake anayo?

"Kumzuia Tuisila kisinda kucheza Yanga Kwa sababu zisizokidhi masharti ya kanuni ni mwendelezo wa uonevu dhidi yetu. Kosa lipo wapi wakati usajili wake umewahi kabla dirisha halijafungwa? Mwisho lini Club kupangiwa muda wa kuwasilisha majina ya usajili? Iwe Kwa Wachezaji local au foreigners?"

"Kamati inayohusika na Hadhi za Wachezaji imekaa lini hadi Katibu utoe hukumu? Tunafanya hivi vitu kumfurahisha nani? Kwa Interest ya kina nani?," alihoji Manara

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
9h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
9h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
13h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
14h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
18h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’