Viongozi Yanga wamtembelea Rais Mstaafu Zanzibar

Shabiki NambaMoja By Shabiki NambaMoja
β€’
11 Sep 2022
Viongozi Yanga wamtembelea Rais Mstaafu Zanzibar

Mapema leo, Rais wa Yanga Eng. Hersi Ally Said akiambatana na Makamu wake Ndugu Arafat Haji, walipata mualiko maalum nyumbani kwa Rais mstaafu wa saba wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Daktari Ali Mohamed Shein.

Dr. Ali Mohamed Shein, akiwa na familia yake alitoa pongezi kubwa kwa viongozi wa Yanga na kuwapa nasaha zake.

Aidha, Dr. Shein alitoa historia ndefu yenye maudhui makubwa juu mchango wa Yanga katika kuleta Uhuru wa Taifa hili ukiendana na historia ya Uanachama wake ukianzia mwaka 1968 akielekea masomoni nchini URUSI

ADVERTISE HERE

Yanga SC Stories

Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
Kundi la Yanga kama msimu uliopita tu
8h ago
READ MORE β†’
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
Yanga yatupwa kundi B CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
Mzize ndio ameanza msimu hivyo
12h ago
READ MORE β†’
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
Timu zinazoweza kukutana na Yanga makundi CAFCL
12h ago
READ MORE β†’
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
Dladla alia na umaliziaji Yanga licha ya ushindi dhidi ya Mashujaa FC
17h ago
READ MORE β†’
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Highlights: Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
17h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
17h ago
READ MORE β†’
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
FT : Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
Magoli; Yanga 2-1 Mashujaa Fc, NBC PL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
Kikosi : Yanga vs Mashujaa Fc, NBC PL, Oct 27
1d ago
READ MORE β†’